'Monitor Leta Fimbo' πŸ˜‚

Hakuna kitu kinauma kama umetoka darasani kwako ukaenda darasa lingine kufuata umbea ghafla unasikia "Haya darasa zima lala chini
Monitor kaniletee fimbo kwenye meza yangu"πŸ˜‚πŸ€£ #ChekanaZephiline
See Also :