Matunda ya Chuo πŸ˜†

Zephiline: Mambo vipi?
James: Poa, vipi wewe?
Zephiline: Nipo poa kabisa
James: Vipi si ulimaliza chuo wewe?
Zephiline: Ndio kwani vipi?
James: Mbona hatuoni matunda yake?
Zephiline: Kwani mi nlienda na miche ya Mipapai au Miembe au umeambiwa TIA, IFM na IAA wanakodisha Mashamba ya Nyanya?
James: Hapana sio huvyo huko umeenda mbali Kaka
Zephiline: Kama kilomita ngapi?
James: Haya yaishe bhana…
Zephiline: Ukome na kiherehere chako
James: Nitukane tu, unakumbuka kuna siku nlkupa buku ya nauli?
Zephiline: Nitajie namba yako nikuwekee hiyo buku
James: Kwani mi nimesema unilipe?
Zephiline: Utajua mwenyewe ila nakutumia kwenye namba niliyonayo, wewe si umefanya ujinga basi mimi nafanya upumbavu

πŸ˜†πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚ #ChekanaZephiline
See Also :