'Matanga Tunayo Hatuna?' πŸ˜‚

Banği sio nzuri jamani naomba tuiacheni kabisa
Nimehudhulia msiba mtaani kwetu saa ngapi nisiombe kipaza sauti kutoa neno kwa wafia nikajikuta naropoka 'Matanga Tunayo au Hatuna?'

Mpaka muda huu nimejifungia chumbani sitaki kabisa kuonekana mtaani kwetu kwa aibu niliyoitia familia yangu🀣 #ChekanaZephiline
See Also :