Kosa Langu ni Lipi? 🤣

Kuna bwana mdogo hapa ameniona natoka bafuni kabisa nimemaliza kuoga eti! ananiuliza "Kaka ulikuwa unaoga ee!?" nimemjibu "Hapana Nimedondokea Kwenye Ndoo ya Chooni" naona amekunja sura

Eti kosa langu ni nini hapo!?😂🏃 #ChekanaZephiline
See Also :