Kapimeni Kichaa 🤣
Ukimaliza kuvaa👉 Mambo baby naenda kazini..
Baada ya dk 40👉 Mambo baby nimefika..
Baada ya dk 20👉 Mambo baby nimekumiss..
Baada ya saa 1👉 Mambo baby hivi umekunywa chai leo...
Baada ya dk 20👉 Halafu baby hapa kazini kuna likaka silipendi..
Baada ya dk 40👉 Baby saa 6 uanze kuja kunichukua tukapate chakula cha mchana pamoja..
Baada ya dk 20👉 Baby niko tayari nakusubiri..
Mnakutana mnakula unamrudisha ofisini na wewe unaenda ofisini kwako..
Baada ya dk 40👉 Baby mambo..
Baada ya dk 20👉 Baby nimekumis..
Baada ya dk 40👉 Baby muda wa kutoka unakaribia si utakuja kunichukua?..
Hata kama ndio mapenzi na kujali sio hivi sasa jamani!😅
Yaani kama mapenzi yenu ni ya hivyo KAPIMENI KICHAA🤣 #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni