Jumla ni Watoto Wangapi? 🤔

Nimemuoa mke wangu akiwa na mtoto mmoja namimi nikiwa naye mmoja kisha tukapata mtoto mmoja ambapo mimi nitakuwa na watoto wawili na mke wangu atakuwa nao wawili

Je jumla tutakuwa na watoto wangapi?🤔 #ChekanaZephiline
See Also :