Binadamu Tuna Nini? 😥

Rafiki zangu, nashukuru Mungu nimepata kazi TRA, nimeajiriwa kama HR Manager hivyo Jumatatu naanza kazi
0 Like, 0 Comment, 0 Share

Rafiki zangu nimefukuzwa kazi hapa kazini kwangu hivyo napisha uchunguzi uendelee
4,160 Likes, 2,454 Comments, 106 Shares

Hivi Binadamu tuna nini sisi?🤔😥 #ChekanaZephiline
See Also :