Mataili Yaliyoisha Upepo π

Secretary: Boss leo umesahau kufunga geti la nyumba yako
Zephiline akabaki anashangaa tu
Baadae akawa anaenda kujisaidia ile anataka kufunguwa zipu akakuta iko wazi ndipo akajua alichokuwa anaambiwa na Secretary wake
Akarudi hadi kwa Secretary na mazungumzo yakaendelea
Zephiline: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona Prado V8 langu limepaki ndani
Secretary: Hapana boss ila niliona kitololi kidogo kimepaki kina mataili mawili yalioisha upepo
Saizi Sekretari anakabidhi mafaili nazani atakuwa kapata rikizoπππ€£ #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni