Ni Mapacha Sema Wamelewa 🤣

Jamaa wawili walikuwa wanakunywa Bar wakaanza kuongea:
Jamaa 1: Unajua mzee wangu ni Polisi?
Jamaa 2: Weee kweli!? Hata mimi mzee wangu ni Polisi!
============================
Jamaa 1: John is my last name
Jamaa 2(Akashangaa): Wow! Hata mimi My surname ni John!
============================
Jamaa 1: I'm 19 years old
Jamaa 2: What?. Usiniambie aisee!
(Akicheeka), I'm 19 years old too
============================
Jamaa 1: Usiniambia umezaliwa on the 13th of March na ukasoma Songea Boyz?
Jamaa 2: Yes! Nimezaliwa 13th of March... Usiniambie naota maana nimesoma Songea Boyz

Wakakumbatiana na huku wakilia...

Zephiline akashangaa sana akamuuliza mhudumu "Kuna tatizo gani na hawa vijana?"
Mhudumu akamjibu "Hawa ni watoto wa Afande John ni mapacha sema wamelewa sana!" 🏃😂😜 #ChekanaZephiline
See Also :