Usiende Less | Ep 05

Tuliishia pale ambapo mtoto wa Sofia alipowafuma Mama na Baba yake wa kambo wakiombana mchezo wakijua watoto wameshalala🤣

Sasa tuendelee na mkasa wetu huu wa kuitwa 'Usiende Less' ikiwa ni episode ya 5

Mama Combo alitoka kwenye mizunguko yake akakuta mlango wake unafungwa na wamiliki wa nyumba

Combo na Mussa katika mihangaiko yao leo wakakutana na janga
Na ilikuwa siku nzuri kwa Combo kwani alitaka kupewa pesa nyingi kama malipo ya juhudi zake

Combo na Mussa wakanaswa na askari lakini Combo aliachiwa kwakuwa alijaribu kujielezea na akaeleweka

Combo na Mama yake walikaa na kujadili kuhusu kodi ya nyumba na Combo akaahidi kulifanyia kazi

Mdogo wake Sofia alikuja na kukuta watoto wakiwa wamelala peke yao huku Sofia akiwa kaenda kulala na Lava

Tazama mkasa mzima hapa

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Fomu ya Anwani