The Dead Camp | Ep 01

Vijana watatu, mpiga picha na mabinti wawili waliokuwa wanataka kupigwa picha walienda katika mazingira waliyoamini kwamba yatakuwa mazuri kwa ajili ya kuchukua picha nzuri ambazo wangezipenda zaidi

Walifika eneo walilokuwa wamekusudia kwa mjibu wa mpiga picha alipoona panafaa na wakaanza kuchukua matukio huku wale wadada wakibadilishana
Akichukua matukio huyu yule mwenzake anaenda sehemu ambayo waliona ingefaa kubadilishia mavazi

Sasa kizazaa kinaanzia katika eneo hilo la kubadilishia nguo

Ningependa nikusimulie lakini kwanini nikusumbue kusoma hapa wakati mkasa mzima upo ndani ya filamu hii na ukiwa ndio mwanzo kabisa wa filamu hii ya kusisimua

Naomba nikupe video hapa chini ili utazame mwenyewe kilichoendelea katika eneo hilo

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Fomu ya Anwani