Moja Jumlisha Moja Yamponza Mwanafunzi | Comedy

Eti 1+1 ni sawa sawa na 11?
Sasa kilichomkuta dogo kinasikitisha
Ni baada ya kuagizwa akaenda kuboronga hesabu na kujikuta akiambulia machungu🤣

Ni kuchekeshana tu ndugu zangu hakuna ukweli wowote kwa wahusika hao, nipe maoni yako kama umeipenda au nini kiongezwe katika video zijazo

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Fomu ya Anwani