Dawa ya Wachoyo | Comedy

Dada aliombwa sabuni ili jirani yake Neema afue akaficha na kudai hana ila kumbe mwenzake alikuwa ameshaiona

Kitendo cha mwenzake kufuata maji tu ndani akakuta kioja ambacho ndicho nimekuwekea kwenye video hii

Majirani Wenye Roho za Hivi Acheni, Video Hii Sio Kwa Ajili ya Kuharibu Ila ni Burudani Tu Kuongeza Siku za Kuishi, Nipende Kuomba tu Comment Yako Kwenye Video Hii Tafadhari

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Fomu ya Anwani