Zawadi ya Muzimu | Full Swahili Movie

Mjomba alienda msituni kutafuta mali, masharti ya mali zile ilikuwa ni
  1. Wawe wawili jinsia tofauti
  2. Mwanamke asiwe kwenye siku zake
  3. Mwanamke asiwe na mimba
Mke wa mjomba akamdanganya mjomba hivyo wakakosea masharti na mizimu ya msituni ikachukia, sasa tazama mkasa mzima jinsi ilivyokuwa katika movie hii

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Fomu ya Anwani