Gaza ni mpiga picha maarufu sana na anapendwa sana na mabinti kwa umahili wake wa kuwapiga picha nzuri
Ilimbidi kuwa mbunifu zaidi ili kuendelea kuwavutia wateja wake
Hapo ndipo lilipoanzia tatizo baada ya kutoka nje ya mji kwa ajili ya kuwapiga picha wateja wake
Wakajikuta wameingia katikati ya msitu na kuingia kwenye jumba kubwa lililoko nje kabisa ya mji ambalo yanaishi majini na kupatwa na majanga mengi sana ndani yake