Mchungaji kahubiri kama kawaida yake ikabidi aombe sadaka
Cha ajabu wahubiriwa walimnyima Sadaka ila alipopita muuza pombe wakanunua tena kwa bei ya juu kabisa🤣🤣
Hii inamaanisha walimpuuza mhubiri na kuamini katika pombe
Hii ni kwa burudani tu hivyo tusiyaishi haya yaliyo katika video hii
Usisahau kutoa sapoti kwa waandaaji wa kazi hizi ili wapate nguvu ya kukuandalia kazi mpya kila wakati
Sasa tazama video hii kisha utoe maoni yako🙏