- Mafundisho
- Ujumbe
- Makanyo
Utajifunza mengi na yasikupite hivi hivi
Ujumbe wetu kwako ni tuishi maisha yampendezayo Mungu na jamii inayotuzunguka
Makanyo yote yazingatiwe ili tuishi maisha sahihi na sio kudhihaki wengine
'Ahsanteni sana kwa sapoti mnayotoa
Usipite bila kubonyeza Subscribe ili tuki upload video mpya zikufikieni' LC Movies Studio