Wizi ni mbaya sana
'Nimekwapua simu ya mrembo hapa aisee kilichonikuta najutia maamuzi yangu
Nimepigwa mpaka nimekoma
Simu nimerudisha pia yaani mpaka nimekosa hata cha kujisaidia zaidi ya kukimbia tu' MatongoNdio mkome wizi😂
Naomba tuendelee kusapoti kazi za wasanii wetu ili wafike malengo yao
Namimi nitahakikisha nakutumia hapa kila itokapo kazi mpya
Namimi nitahakikisha nakutumia hapa kila itokapo kazi mpya