'Dada ametuachia maagizo tupike chakula kinukie vizuri halafu tumetii maagizo tena anatupiga
Kwamba kosa letu ni kutumia akili zetu kutatua tatizo au shida ni nini?' Matongo
Naamini video za hawa jamaa zinakuvutia kutazama
Basi naomba wape maoni yako ili wajue wapo na wewe katika gurudumu hili la burudani