Mariam aliishi maisha ya shida akijishughulisha na kilimo na ndipo siku moja alipigiwa simu ya kazi katika ofisi ya Uchakataji wa Samaki
Philipo alikuwa kijana masikini akijishughulisha na shughuli za kuuza mkaa, naye alipeleka CV zake katika ofisi ya AMCOS na kwa bahati nzuri akapata kazi
Kabla ya Philipo kupata kazi alipendwa na Mariam na kuishi pamoja mpaka alipofanikiwa kupata kazi kwa mgongo Mariam
Baada Philipo kupata ajira kwa msaada wa mkewe alijisahau na kuanza kumsaliti mkewe
Mke alienda ofisini kutoa taarifa za tabia za mume wake iliyosababisha Philipo kuachishwa kazi
Mariam alichoshwa na tabia za mume wake akaenda kwa mganga lakini hakuzitumia akapata wazo la kumrudia na kumuomba mwenyezi Mungu ambaye alijibu maombi kwa wakati
Nakukaribisha utazame filamu hii yenye kusisimua na mafundisho kwa jamii
Nakuomba usiache hata kulik, weka pia maoni yako kuhusu filamu hii, kikubwa zaidi ili usipitwe na filamu zijazo bonyeza Subscribe kama bado haujajiunga