Bosco anamuacha mkewe Anitha na kwenda alikohamishiwa kazi na Boss wake ambako ni ofisi iliyoko mbali na familia yake. Anabaki kuwasiliana tu na mkewe kwa simu.
Kazini alikohamishiwa anakutana na vishawishi vya kidunia. Anapata binti anampenda kisha anazama kwenye mahusiano mazito kumbe anaishi na virus.
Movie hii ina mengi sana ya kusikitisha, kufurahisha na kufundisha. Hii ni hadithi ya mapenzi, majuto na uaminifu.
Tazama movie hii leo na ujifunze mengi yaliyomo ndani yake.