Kaingizwa cha Kike na Wauzaji | Comedy

Jamaa alimpenda demu ikabidi amsemee mabaya rafiki yake na kujinadi kuwa yeye ana pesa

Rafiki yake kuona hivyo akaamua kuhamishia mawazo ya binti kwake
Yeye akazidisha na chumbi kwenye zile sifa alizoeleza rafiki yake huku akimsema vibaya rafiki yake

Mabinti nao huwa hawakatai ikisemwa pesa hivyo jamaa akabeba mzigo akimuacha jamaa yake analalamika tu😂

Tazama ujionee kituko hiki:

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Fomu ya Anwani