Mwanaume Mchoyo | Comedy - Cheka na Zephiline

Cheka na Zephiline

Tazama Filamu za Kuvutia Pamoja na Vichekesho Bure Kabisa Website inakuletea mchanganyiko wa kipekee wa filamu na vichekesho kutoka kwenye channel zetu za YouTube. Jipatie dozi ya kuvutia ya burudani na kufurahia maudhui yaliyochangamka, yenye kuchekesha na yenye kuvutia. Pata filamu na vichekesho vyote unavyovutiwa navyo hapa!

BANNER 728X90

Ijumaa, 15 Machi 2024

Mwanaume Mchoyo | Comedy

Matongo anatoka katika mizunguko yake anakuta mdogo wake anakula akiwa pamoja na familia yake yaani mkewe na watoto wake

Kwa tabia zake mbaya, Matongo anamfukuza mdogo wake asile chakula
Mke wa Matongo anachukia kuona udhalilishaji ule anaamua kumjia juu mumewe na hapo ndipo vita inaanzia

Unadhani nini kilifuatia kati ya mke na mume?
Je mdogo wake Matongo atafanya nini?

Fuatilia mkasa wote hapa:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni