Sehemu ya Mwili π
Baada ya kumaliza shule nilienda kusomea udaktari tuliambiwa tuyapange haya maneno 'PNEIS' wakasema ni sehemu muhimu sana katika mwili wa binadamu
Wale walioandika SPINE saa hizi ni madaktari ila wale tulioandika kitu ambacho unakifikilia wewe saa hizi tupo mtaani π€£π #ChekanaZephiline

Chapisha Maoni