Tazama Filamu za Kuvutia Pamoja na Vichekesho Bure Kabisa
Website inakuletea mchanganyiko wa kipekee wa filamu na vichekesho kutoka kwenye channel zetu za YouTube. Jipatie dozi ya kuvutia ya burudani na kufurahia maudhui yaliyochangamka, yenye kuchekesha na yenye kuvutia.
Pata filamu na vichekesho vyote unavyovutiwa navyo hapa!
Ushawahi kukutana na demu anakwambia anasomaga chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi: “Za hasubui Zephiline, Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?”
Eti wana chuo huu ndio mwandiko wenu?π€£π #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni