'Never Trust Woman' πŸ˜ƒ

Leo nimepishana na Vitz imeandikwa 'Never Trust Women'
Nikajua huyu mtu lazima alikuaga na Range RoverπŸ˜‚πŸ˜

-Eti wewe umeelewaje? 🀣 #ChekanaZephiline
See Also :