Walimu wa Zamani π

- Tuliwapelekea kuni
- Tuliwachotea maji
- Tuliwalimia mashamba
- Tuliwafanyia kazi za nyumbani wote walikaa quarters
- Rambirambi walikusanya wao
- Tofali tuliwafyatulia hata za kuuza
- Tulifanya vibarua kukuza mradi wa shule ambao hatukujua matumizi
- Tuliwapelekea hata vitu kama kuku, mayai na maziwa ambavyo wazazi walitupa tukawapelekea
Sasa kwa hayo yote mwalimu angegomeshwa na kipi wakati kila kitu alichokuwa anataka alikipata?π€π #ChekanaZephiline
Chapisha Maoni