Mwanamke Piga Mumeo πŸ˜„

Mwanaume akimfumania mwanamke atampiga huyo mwanamke ila cha ajabu mwanamke akimfumania mumewe eti anampiga huyo dada aliyemkuta naye wakati kashawishiwa tu

Kwanini usimpige mumeo ambaye ndiye kakusaliti unakimbilia kupiga binti ambaye wenda hata hakujua kama mumeo kaoa?

Lakini hii ndio DuniaπŸ€£πŸ˜‚ #ChekanaZephiline
See Also :