Ukifumaniwa Unapakwa Mafuta | Comedy

Jamaa afumaniwa ndani kwa mtu akazuga kuwa yeye ni fundi TV, Fenicha, AC mwenye nyumba akatafuta mafuta ili ampake maana dawa ya anayeiba mke wa mtu ni mafuta tu🤣

Kama haujafikisha umri wa mtu mzima usitazame fumanizi hili la kufa mtu

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Fomu ya Anwani