Pesa za Mchezo | Comedy

Bila uoga akubali kuabika kisa pesa, yaani kisa kuona jamaa ana hela akakubali kufanyiwa chochote
Lakini utacheka kilichotokea baada ya ukweli kuhusu pesa kujulikana

Naomba tazama video hii kisha nipe comment yako unamtazamo gani kwa wadada kama huyu?

Usisahau kushare video hii kwenye magroup WhatsApp au facebook kuwafurahisha rafiki zako

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Fomu ya Anwani