Mwizi Kwenye 18 | Comedy

Mwizi akiiba mkoba akijua kapata kumbe kapatikana
Sasa tazama video hii ujionee alichoambulia

Naomba nipe maoni yako baada ya kutazama ni kipi kimekuvutia zaidi katika video yangu hii
Naomba pia gusa share ili uwatumie rafiki zako WhatsApp au facebook ili kuwaonesha video hii ya kuvutia

Ahsante kwa wewe unayesoma hapa na umeipenda video hii naomba usitoke bila kulike na kunipa comment yako tafadhali

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Fomu ya Anwani