Huyu mwanamke ni tishio kubwa sana kwenye ndoa
Amempiga mumewe kisa tu kamkuta na mdada mwingine ambaye alihisi ni mchepuko kumbe ni mpitanjia tu wala hakuwa mpenzi wa mumewe
Mkasa mzima umetokea baada ya mwanamke kumuona mumewe anaagana na mchepuko huyo kisha kumjibu mkewe yakuwa wametoka mbali yeye na binti yule
👍Like | 🗨Comment | ▶Subscribe | 🔀Share