Baada ya Tausi kunyimwa chakula alivizia makombo akala lakini akafumaniwa na Baba yake lakini aliishia kugombezwa tena
Baada ya kuona manyanyaso yamezidi akakimbilia kwenye kabuli la Mama yake
Baadae Muzimu wa Mama yake ulimtokea akiwa na Baba yake
Tazama mkasa mzima hapa