
Kajirahisha akaingia kwenye mtego yeye mwenyewe
Alichokifanya amejikuta anakijutia
Wanawake walio na uwezo wa kulipa kodi wanajiona wana maamuzi kuliko hata mwanaume aliyenaye, hii imewakumba vijana wengi na kujikuta wakikosa pa kushika
Je ungekuwa wewe ungeganyaje?
Ukikutana na mwanamke mkorofi wewe mfanyie haya tu atakupenda yeye mwenyewe bila usumbufu, atakurudia na kukuomba msamaha kama huyu
👍Like | 🗨Comment | ▶Subscribe | 🔀Share
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni