Kamanda Mvuta Bangi | Comedy

Kamanda si kaenda kukamata watuhumiwa akakutana na kitu cha moto nayeye akaunga mle mle
Wee acha kimnogee mpaka watuhumiwa wakakimbia🤣

Angalizo: Kinachovuta ni karatasi tupu hivyo isihisiwe ni bangi kweli ni uchekeshaji tu

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Fomu ya Anwani