Binti alidondosha pesa mbele ya mabinti wenzake wakaiokota kumbe kuna jamaa kawaona akazingua na kuwaambia ni pesa yake ndipo kizazaa kikaanzia hapo kwakuwa hata mwenye pesa alirudi na kuulizia kama wameiona
👍Like | 🗨Comment | ▶Subscribe | 🔀Share
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more