Alaumiwe Nani? | Comedy

Kwa bahati mbaya tu mdada alimwagia maji mwenzake kitendo kilichomkera sana mpita njia na kuamsha ugomvi ambao mwisho wake mkosaji akawa mkosewaji🤣

Endelea kunipa sapoti kwa kuwaambia rafiki kuhusu channel hii ili tuendelee kuburudishana zaidi

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Fomu ya Anwani