Kutana na rafiki mnafiki ambaye ukiwa naye anakusifia ila ukitoka anakusema kwa mabaya yako na anasahau yake
Mkiwa wote ni rafiki lakini ukimpa mgongo sasa mnafiki balaa, na hawa kwenye jamii yetu ni wengi sana tunaishi nao, nipende kuwaomba tuache unafiki bwana🙏🙏