Penzi la Usaliti | EP 02 - Cheka na Zephiline

Cheka na Zephiline

Tazama Filamu za Kuvutia Pamoja na Vichekesho Bure Kabisa Website inakuletea mchanganyiko wa kipekee wa filamu na vichekesho kutoka kwenye channel zetu za YouTube. Jipatie dozi ya kuvutia ya burudani na kufurahia maudhui yaliyochangamka, yenye kuchekesha na yenye kuvutia. Pata filamu na vichekesho vyote unavyovutiwa navyo hapa!

BANNER 728X90

Jumapili, 7 Aprili 2024

Penzi la Usaliti | EP 02

Baada ya Mariam na Philipo kuwa wapenzi walielewana waende kwa wazazi ili penzi lao lisiwe la siri
Philipo hana wazazi ila alibakiwa na mjomba wake hivyo Mariam anaenda kutambulishwa kwa mjomba wake Philipo na anapokelewa kwa furaha pale nyumbani japo mambo machache yanaonekana kumtatiza Mariam

Maisha yaliendelea
Siku moja Philipo katika pita pita zake akakutana na tangazo la ajila hivyo akawa amechukua mawasiliano ili aombe kazi
Kumbe pia Philipo alikuwa na ujuzi na alikuwa amesomea ila maisha tu yalimfanya ajishughulishe na kazi ndogo ndogo

Alimshirikisha mke wake kuhusu jambo lile na akatuma vyeti vyake katika kampuni ile
Mke wake alikuwa bega kwa bega kufanikisha hili mpaka pale Philipo alipoitwa siku moja ofisini kule na kupewa majibu ya maombi yake

Naamini ungetamani kujua yaliyojili na nini kiliendelea
Play filamu hii tukiwa Episode ya Pili baada ya ile ya kwanza


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni