Mume mlevi leo kajichanganya kwa mkewe Mama Issa
Usiache kujiunga na channel hii kwa video zaidi
Alikojoa akataka kumsingizia mwanae ambaye hakulala hapo nyumbani alikuwa Bibi yake
Ilikuwa ndio tabia zake kumsingizia mwanae ili afiche aibu lakini leo kayakanyaga😂
Jionee mwenyewe mkasa mzima