Jamaa aliazimishwa pesa lakini yeye akaitumia kwa starehe zake binafsi😂
Leo kakutana na mwenye pesa yake tazama alichomwambia mpaka kufikia kushikana mashati
Kifupi jamaa alikuwa mlevi na mpenda mademu sasa kakopeshwa kumbe shida yake kuhonga😂
Sasa leo kakutana na mdai acha kiumane😂
Toa maoni kwa watoa video hizi ili wapate nguvu ya kuendelea kukupa kazi nzuri